Uncategorized

breastfeaturedimage

Kwanini wanawake wengi huchelewa kugundulika na kuanza matibabu ya saratani ya matiti?

Saratani ya matiti, au Kansa ya matiti, ndiyo saratani inayoongoza kwa vifo vya wanawake ulimwenguni. Wengi wanakumbwa na kuchelewa kugundulika na kuanza matibabu sahihi, hivyo kuongezeka kwa idadi ya vifo vinavyohusiana na ugonjwa huu. Zaidi ya asilimia 70% ya wanawake huanza matibabu ya saratani ya matiti katika hospitali za rufaa wakiwa hatua mbaya. Wengi wanakuja […]

Kwanini wanawake wengi huchelewa kugundulika na kuanza matibabu ya saratani ya matiti? Read More »