Karibu!

Afya njema na Ustawi, tovuti yenye Lengo la kusaidia kuhakikisha maisha yenye Afya na kukuza Ustawi kwa wote katika umri wote. Tunalenga kuzuia mateso yasiyo hitajika kutokana na magonjwa yanayoweza kuzuilika na vifo vya mapema kwa kuzingatia malengo muhimu ambayo yanaongeza afya ya watu katika jamii.

Elimu ya afya

Kuelimisha watu binafsi na jamii kuhusu maisha bora, kuzuia magonjwa, na kukuza afya.

Utafiti

Kufanya na kushiriki katika utafiti ili kuboresha utendaji wa huduma za afya na matokeo.

Habari

Ninayo furaha sana kuwa nasi. Nijulishe ikiwa kuna kitu chochote maalum unahitaji msaada.

Nguvu moja,

UNAHITAJI MSAADA?

+255719720100

Name
Email
Message
Ujumbe umefika
Jaribu tena, hakikisha umejaza pote

Tunahakikisha tunatoa Elimu kwa Ubora!

Tunatengeneza Tabasamu na Upendo zaidi

Tunaelimisha jamii jinsi ya kurekebisha mtindo wao wa maisha ili kukidhi hali nyingi za kiafya. Tunawasilisha kwa ufanisi vikwazo vya afya katika jamii, kuratibu mikakati madhubuti ya afya, na kuelimisha watu na jamii kuhusu mbinu za kuboresha afya zao.

Tunahakikisha Maisha ya Afya na kukuza Ustawi kwa watu wote kwa umri wote.

Jumanne A. Kwembe

Afisa Muuguzi Msaidizi

Machapisho mbalimbali

Hello world!

Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!

Read More

Malengo yetu kwa sasa!

Kila mtu aweze kusaidia kuhakikisha kuwa tunafikia Malengo ya Ulimwengu.

01
Kupambana na magonjwa ya kuambukiza


Kukomesha milipuko ya UKIMWI, kifua kikuu, malaria na magonjwa mengine yaliyosahaulika na kupambana na homa ya ini, magonjwa yatokanayo na maji na magonjwa mengine ya kuambukiza.

02
Kupunguza vifo kutokana na magonjwa yasioambukiza na kukuza Afya ya Akili

Kupunguza vifo vya mapema kutokana na magonjwa yasiyoambukiza kupitia ufahamu na upatikanaji wa kinga na matibabu na kukuza afya ya akili na ustawi.

03
Kuzuia na kutibu matumizi mabaya ya Dawa

Kuimarisha uzuiaji na matibabu ya matumizi mabaya ya dawa za kulevya, na matumizi mabaya ya pombe.

04
Upatikanaji wa huduma za Afya ya uzazi​

Tunahakikisha upatikanaji wa matibabu ya magonjwa ya ngono na huduma za afya ya uzazi kwa wote, ikijumuisha elimu ya uzazi wa mpango.

05
Kupunguza magonjwa na vifo kutokana na kemikali hatari na uchafuzi

Kupynguza kwa kiasi kikubwa idadi ya vifo na magonjwa kutokana na kemikali hatari na uchafuzi wa hewa, maji na udongo.

06
Kudhibiti matumizi ya tumbaku

Kuimarisha utekelezaji wa Mkataba wa Mfumo wa Shirika la Afya Duniani kuhusu Udhibiti wa Tumbaku katika nchi zote, kadri inavyofaa.

07
Kuunga mkono tafiti, maendeleo na upatikanaji wa chanjo na dawa

Kusaidia utafiti na uundaji wa chanjo na dawa za magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza ambayo kimsingi yanaathiri nchi zinazoendelea, kutoa ufikiaji wa dawa na chanjo muhimu kwa bei nafuu.

08
Kuboresha utambuzi wa ishara hatari za kiafya

Kuimarisha uwezo wa kutambua mapema ishara hatari za kiafya mapema, kupunguza hatari na udhibiti wa hatari za afya za kitaifa na kimataifa.

FOR NHIF

Call 199​ Free
www.nhif.or.tz

Tunapenda kukuona ukitabasamu

Huduma majumbani*

Hadithi fupi

Tengeneza tabasamu kwa kubadili mtindo wako wa maisha!

How to Find Us

Address

Muhimbili
Dar es salaam, Tanzania

Phone

+255719720100

Email

nesijeyfour@gmail.com
nesijeyfour@outlook.com

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x